Friday, February 1, 2013

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA TEHAMA


3 comments:

  1. Tuhame kutoka jijini kampala. kwanza mie nawashukuru kwa kazi nzuri mnayofanyia ulimwengu, Musijali Mungu ndiye atakayewazawadia! Hacheleweshi na harahisishi!
    Tunaomba namna ya kuunganishwa tuweze kutazama video zenu za TEHAMA class,kwani wakati wenu wa kufundisha sisi huwa kazini. lakini kipindi chenu kimetusaidia sana! huwa tunafuatilia maranyingi.
    Mkija Uganda,tafadhari tutaonana!
    barua pepe zetu ni; iagume@yahoo.com na tuhamose2@gmail.com

    ReplyDelete
  2. hongera kwa kazi nzuri.

    Nami niko Mbeya napenda kufundisha somo la tehama katika shule yangu
    je naweza kuwa miongoni mwa wadau katika TEHAMA CLASS

    ReplyDelete
  3. Hongereni vijana endelee ni tunapata kidogo mnachokitoa, na mimi ninawahitaji katika shule yangu ili muwape dozi vijana

    ReplyDelete